Free Web Hosting Provider - Web Hosting - E-commerce - High Speed Internet - Free Web Page
Search the Web


KARIBUNI NYOTE
  Nyumbani | Kunihusu | Mpya za ukweli | Mahusiano | Jiachie kiukweli | Mawasiliano | Utapenda hii  

Mimi
Ni kawaida sana kujitambulisha kwa jina ila kwa upande wangu natumia utofauti kidogo mimi ni mwezeshaji na taaluma hii naisomea butimba mwanza mwaka wa kwanza ni mzungumzaji wa kawaida, mcheshi napenda sana utani kwa mpenzi wangu zaidi, ni mrefu, maji ya kunde, na ni mpenzi wa man u na mchezaji wa mpira wa kikapu, na zingatia sana habari mpya, siasa za ndani na nje, pamoja na kutumia muda mwingi sana kuzungumza na nimpendaye.. Ambaye ni rachel w m mtu pekee ambaye ana nafasi kubwa sana ktk maisha yangu.
HITAJI ?
Hakuna kitu kizuri kama kufahamukuwa unaweza kupata msaada wa mawazo au kitu flani pale ambapo unapungukiwa kituflani. Ila kwa upandewangu mimi nadhani zawadi iliyo bora kwetu sisi binadamu ni urafiki wetu ambao unatufanya tuwe na mahusiano. Yatupasa kutambua uwepo wa kila mmoja wetu mahali popote na kwa wakati wowote kwani sikuzote tumekuwa tukipungukiwa japo hata kwa kuomwona unayemchukia ambaye kwa kumwona kwake kunasababisha fikra zako kushughulika japo kwa wivu au ubaya. Hapo ndipo ninapotambua kuwa uwepo wa kila mtu ni muhimu. Kwa upande wa pili za wadi iliyo bora kwa binadamu wa karne hii na "uwezo" wa kupambanua mambo kiukweli nibora kuwa tegemezi wa mali kuliko wa fikra... Kwa hayo na mengine mengi usisite kuniandikia kwa anwani yangu hapo chini... Endelea
Unataka uzoefu zaidi wa hilo unalo lifanya liwe la manufaa zaidi? Usisite kuuliza hapo chini
Jaribu. Thubutu. Naweza. Nitafanikiwa. Haijashindikana. Na mengine mengi ni maneno yatakayo kusuma kwenye mafanikio

Tuna weza kushiriki
Kama wapambanaji tunayo mengi ya kushirikishana uzoefu wa mambo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi. Ila la msingi ni elimu na majukumu.
sajopax@yahoo.co.nz

FROM ME
expect to have fan and lots of jokes

Captions for pictures
Adding captions makes my pictures more interesting.
Send an email


sajopax@yahoo.co.nz